 |
kanisa la mtakatifu karoli lwanga |
Dah leo nimeposti picha hii ya watoto ninamaana moja watoto hawa walinifanya nilowe bilakupenda kwakuomba kucheza nao mpira .nilikubali nanikaona hii nikama njia yakusherekea sikukuu hii yamuungano .watoto walifurahi sana hii ikikua jana
No comments:
Post a Comment