TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Wednesday, April 20, 2016

Gari la zama kigamboni!!!!!!!!!!!!




Kuna Maafa yametokea katika kivuko cha kigamoni.leo hiii 

Watu wa familia wapatao kumi (mama, kaka na wanandugu nane) waliokuwa wametokea mbeya kuja kwenye msiba.

Wlikuwa na gari aina ya Hiace. Baada ya kuingia ndani ya kivuko maeneo ya Ferry, na safari kuanza. Gari yao ilitereza na kutumbukia baharini.
Mpaka sasa kikosi cha uokoaji kimefanikiwa kupata mwili wa dereva  majira ya saa tatu asubuhi. Inaonesha dereva alifungua mlango na kujitoa ndani ya gari. Ila miili mingine pamoja na gari bado havija patika na kikosi cha uokoaji na wazamiaji wapoeneo la tukio wakiendelea kuwa saka.

Mama aliyekuwa kwenye hilo gari amejulikana kwa jina la Nice Kalago

No comments:

Post a Comment