TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Tuesday, April 12, 2016

sakata la wafanyakazi hewa sasa limezidi......................................!!!!!!

Sakata la kuondoa wafanyakazi hewa mkoani limezidi kushika kasi kwa kubaini zaidi ya wafanyakazi 100 ambao waliingizwa kwa kuirubuni serikali.
Wafanyakazi hao hewa wamebainika kwa uhakiki ulioamliwa na mh. Raisi Dkt. Magufuli kufuatiwa kauli ya mkuu wa mkoa wa shinyanga kutoa kauli ya kua mkoa huo haukua na wafanyakazi hewa, kauli iliyomfanya raisi Magufuli kutengua wadhifa wake.
Ifuatayo ni idadi ya wafanyakazi hewa na maeneo walipopatikana
1. Mkoa wa Shinyanga, Kiutawala (3)
2. Manispaa ya Shinyanga (19)
3. Wilaya ya Shinyanga (8)
4. Wilaya ya Kishapu (20)
5. Wilaya ya Kahama (46)
6. Wilaya ya Ushetu (6)

No comments:

Post a Comment