PESA
katika maisha ya kila siku huwa tunawaza na kutafuta pesa, sasa pesa ni nini? mpaka tunaitafuta katika maisha yetu..!!!!
Katika kutembea tembea kwangu nilikutana na maswali mawili, la kwanza na je unataka pesa..? la pili je unahitaji pesa...? sikupata jibu kwa haraka nikaja kugundua kwamba wengi wetu tuna itaji pesa lakini tunavyo tafuta ni kama tunataka pesa .Kwanini nasema hivyo, kwa maana kutaka kitu ni hali, ya muda mfupi na kuhitaji kitu nihali ya muda mrefu. Sasa jiulize je utafutaji wako ni wa kutaka......?, au wa kuhitaji pesa.......??? .ONA ,AMINI NA TENDA .......utafanikiwa ......!!!!
No comments:
Post a Comment