TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Thursday, March 24, 2016

ONA , AMINI NA TENDA

 
ONA, AMINI NA TENDA
katika maisha tunaona vitu vingi sana pia tuna amini vitu vingi sana na pia tuna tenda mambo mengi sana .mambo hayo yote yanaweza kua nafaida au hasara kwetu katika mfumo wa maisha ambayo tunaishi lakini atuna budi KUONA , KUAMINI NA KUENDA
Sasa UNAONA nini kilasiku? , pia UNAAMINI nini ? na UNATENDA nini ?
kama unaitaji kufanikiwa na unaisi unashindwa kufanikiwa naujui sababu ya kwanini aufanikiwi hadi leo hili ndilo jibu sasa la kwanini haufanikiwi?
  1. badili tabia yako ya sasa yaani badili taarifa unazo pokea kila siku .kama wewe ni mwimbaji ina bidi utafute taalifa za waimbaji ilikujijenga katika ndoto yako .usikae sana na watu wanao kupotezea muda kufikia ndoto yako
  2. badili vitu unavyo  VIONA ,VIAMINI NA KUVITENDA ambavyo avitakufikisha katika ndoto yako 
  3. mtumaini mungu maana mungu ndo kira kitu  
 
 
 
katika picha tunapata hisia nyingi sana hasa ukichola picha ya maisha yako ya nyuma na maisha unayo yatamani kuya fikia .chora picha ya maisha yako ili kuiona kuiamini na utende kuifikia
 

No comments:

Post a Comment