TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Monday, June 6, 2016

RAMADAN KAREEM .....!!!

Hatimae mwezi umeonekana na kesho waislamu wote wanaanza kufunga mungu awajalie wafunge salama na maombi yao juu ya nchi yetu yatapokelewa kipindi hiki cha Ramadan Kareem mungu atutunze.

No comments:

Post a Comment