TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Tuesday, November 24, 2015

WATOTO TUCHEZE NA KUSOMA

 
WATOTO TUCHEZE
Taasisi hisiyo ya kiserekari itwayo LET GOD BE YOU (LGBY) imeandaa proglamu zao juu ya watoto itwayo WATOTO TUCHEZE NA TUSOME
ikiwa na malengo ya kuwafanya watoto wengi kupenda kusoma na kutambua vipaji vyao kwa maana watoto wengi ambao wapo hapo ni yatima na wanao ishi na mama pekeyake ukiwa kama mdau wa kupenda mabadiliko katika jamii unaweza kuungana nao kila jumamosi
1.kufulahi na watoto
2.kusoma na watoto
3.nakuwafundisha

 
mmoja kati ya watoto akijisomea kitabu
 

watoto wakiwa na mwalimu wao kwa jina la HOSPIC MNEGA wakiwa wanacheza
 
pia picha hii ina waonyesha wakiwa na mwalimu wao AMINA HALIDI akiwa fundisha

wakiwa wanaimba nakucheza
 
Image result for lgby
The mindset  foundation
 

No comments:

Post a Comment