TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Thursday, November 19, 2015

KWANINI ?

JE NIKWANINI?

dunia nisehemu nzuri sana ambayo mungu katupatia tuishi.
lakini binadamu tunaifanya vibaya dunia hii  sasa nikupe mfano;hivi nguo ukiichoka utanunua nyingine , gari ukilichoka utanunua jingine sasa .

SWALI:  JE DUNIA UKIICHOKA UTAFANYA NINI ?
 Tokeo la picha la siri ya mafanikio hii apa

JE UTAISHI ANGANI?


Tokeo la picha la siri ya mafanikio hii apa

Nikwamba jibu sahii huna niwapi utaishi ukiichoka dunia .sasa kwanini waichosha dunia labda ujanielewa namaanisha nini.angalia picha hizi utajua kwamba .KWANINI UNAICHOSHA DUNIA
 Tokeo la picha la UHARIBIFU WA MAZINGIRA    TUNACHAFUA MAZINGIRA KWA MAKUSUDI


Tokeo la picha la UHARIBIFU WA MAZINGIRA     TUNAKATA MITI OVYO KISA PESA:


Tokeo la picha la UHARIBIFU WA MAZINGIRA UCHAFU NA MOSHI UTOKAO VIWANDANI

KWANINI?
kwanini tunapenda pesa kuliko dunia ?
kwanini atufikilii kizazi kingine?

miti na misitu unayoiyona ilifanywa kazi kubwa na mababu zetu karne nyingi zilizopita nchi ilikua nzuri amna joto yaani DAR ES SALAAM ilikua kama MOROGORO sasa kwanini unaalibu mazingira

Tokeo la picha la UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Tokeo la picha la UHARIBIFU WA MAZINGIRA
picha hizo mbili zinaonesha maisha yanyuma  tuliokuanayo katikabaadhi ya misitu nasasa hilivyo inaumasana



UNGANA NAMIMI KUPAMBANA JUU YA UALIBIFU WA MAZINGIRA KWA KUSHARE
MUNGU IBARIKI TANZANIA   
                                                       
Tokeo la picha la TANZANIAThe mindset  foundation   












No comments:

Post a Comment