TANGAZA NASISI

TANGAZA NASISI
bei zetu ni nafuu sanaaaaa

matangazo


Thursday, November 26, 2015

KARIBU TANZANIA KARIBU BAGAMOYO

 
 
 
HISTORIA
Bagamoyo ni mji ambao unapatikana tanzania mkoa wa pwani. hii nisehemu nzuri ya kihistoria maana ukifika utajua hitoria nyingi usiyo ifahamu kuusu Tanzania utajua yafuatayo
1.makaburi ya kina surtani  
 2.magofu ya kare                  
3.mbuyu wenye miakamingi
4.bandari ya kwanza              
            5.kanisa la kwanza navingine vingiii
karibu kaole hapandipo kaole ambapo kuna histolia kubwasana juu ya uislamu pwani
"tuka tuka lole mwalabu kulonga choni pumbuje" huu ni msemo maalufu bagamoyo
Hapa ndipo kwenye mbuyu mkubwa yaani unamiaka mingi sana kwasasa ni 1000


haya nimabaki ya kare yakitumika katika ulinzi

nilipofika hapa nikajiuliza hilipoli la nini kumbe hapa ndipo ilikua bandari ya kwanza kabla ya dar es salaam



usiogope huu nimfano alivyo bebwa DR Living Stone alipokufa uko uganda kwa ugonjwa wa malaria

hivi ndivyo walivyo mbeba mpaka hufika Tanzania walitumia miezi kumi na miwili 



huu mnyororo unao huona ulikua mrefu sana ulikua unatumika kwa ajiri ya kufunga punda wa MADAME DE CHEVALIER



Na hili ndo kanisa la kwanza TANZANIA
 

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA BAGAMOYO JUA HISTORIA YA TANZANIA



No comments:

Post a Comment