MH NAPE NNAUYE APIGWA CHINI
Baada ya Rais Dkt John Pombe Magufuli Alhamisi
hii kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri kwa kumpiga chini aliyekuwa
Waziri wa Waziri wa Habari , Utamaduni , Sanaa na Michezo, Mh Nape Nnauye na
nafasi yake kuchukuliwa na Dkt. Harrison Mwakyembe, Nape amewataka wananchi
kutulia
No comments:
Post a Comment