swala la elimu kuwa bure likiwa linaendelea lakini wanafunzi hawapendi kwenda shule,
huishia njiani na kujiingiza kwenye makundi maovu.
Nikazungumza na mwanafunzi mmoja kati ya watoto waliokua wakizurula alisema yafuatayo
"tukichelewa tunachapwa tofauti na zamani na tukiwai hatusomi kamazamani kisa sisi niwatoto wa magufuli "mwisho wa kunukuuu
mwandishi wetu akuchoka kutafuta taalifa alikutana na mzazi mmoja njiani aliekua anawambia wanafunzi waende shule .huku akiongea yafuaatayo "watoto wa sasa hivi bwana elimu bure lakini wanatega kweli mtoto wa nyoka ni nyoka "
mwandishi akamfuata kujua zaidi ya msemo wake hule wa mtoto wa nyoka ni nyoka yule mzazi alimwambia mwandishi kwa kuanza kusema yafuatayo.
" unajua nini kaka hawa wanafunzi hawapendi kusoma lakini pia walimu wasasa hivi hawapendi kazi zao kama zamani walivyokua wazee wetu yaani mwalimu ataakikisha anawafatilia wanafunzi wote na hatakufika kipindi anajua maisha yao na majina yao hao ni walimu wazamani wasasa wanaangalia pesa na whatsapp "mwisho wa kunukuu
KUMBUKA :jukumu la kumlea mtoto si la MWALIMU pekeyake wala MZAZI pekeyake niletu sote
![]() |
wanafunzi wakiwa njee wakati wa masomo picha na jeremiah michael |
No comments:
Post a Comment